Watch the video keenly
Hawa wasichana wadogo customer care hupitia hard times sana.
Kenya tumefika mahali CRBs aren’t serving their intended purpose. It will surprise you that hata some MPs are listed.
How do?
Kenya imejaa wezi and conmen from the leaders we have elected to the common mwananchi
Dafaq you asking???
Unakopesha aje mtu wa mjei kutoka Ruai…and expect he will pay you!!!..hao hutaka ile style ya mafia collection. You lose a finger each day the money is not paid.
Can’t work won’t work. You see the much a debt collector gets is 10% of the debt. Now imagine kuingia Kibera ama kayole eti mnaenda kuangaisha mtu ako na deni ya tala ya 10k. For what? 1k? Na kumbuka huyo morio akipiga nduru mnamalisiwa huko ndani.
6 months ago if not 7 nimekopesha boy wangu ,since ni mtu ako na kauwezo sikufikiria twice kumpatia substancial amount.Alinishow atarudisha na ka interest ya 18%,nikapiga hesabu rough,18 sio mbaya,naeza peleka familia pale kwa maji ya chumvi tuchape kama wiki na nusu over easter .Mwezi ikafika nikamtembelea tu random,sikua nimekam kudai, nikacheki situation vile iko nikapata kuna hitilafu,hana raha,tei inamiss kwa cabinet,TV imechapa,wife amenuna…nikaona nijitoe na kumshow asistress kulipa since naeza ngoja ka mwezi kaingine. Leo mimi hapa nangojea tu,shida ni sina ile tabia ya kudai dai,so ni advantage anachukua but issokey,mashida hupiga u-turn saa zingine
You are an honourable guy.