VEHICLE REG NO. KDH

It’s the second time I have noticed a van with Reg No. KDH… Wale Birrionaires wanaelewa hii maneno kama @introvert na @wheelz wafafanue hizi ni za wapi [ATTACH=full]91810[/ATTACH]

KBQ v

Chassis number ya Hiyo vehicle ya Anza na kdh followed by several numbers lakini in this case those are the last four digits, probably it’s a transit vehicle to an east African country

Ha ha… Cheza chini VE

1 Like

kuna time uliweka hii thread alafu ukadisappear

vehicles on transit

Hapo sijui.
Na usipandishe fundi wa nduthi cheo hivyo hadharani. Hehehe.

1 Like

Those are not registration plates, ni (part of) chassis number. Msee ametoa gari port kabla plates zitokee.

2 Likes

Also saw the van. Mpaka iko na PSV.

PSV huwa ni sticker tu. As you can see, hata viti haina.

Is that even allowed. I understand gari lzm ibandikwe numberplates kabla itoke port

It is very legal juu gari ishalipiwa duty na registration so number plate ndo bado Kutoka. Remember gari kama hii ishafanywa inspection na NTSA na Insurance wanatumia chassis number. But huwezi tumia hio gari sana labda kwenda garage ikapakwe rangi za matatu sacco.

1 Like

Hakuna kitu ka lazima. Bora tax imelipwa. Kuna nyingi kwa yard hazina.

1 Like

@shocks alikua amefanya CSI sana ikabidi nifiche evidence kwanza

He he… Lakini kama anatembea na Chevy monster sio mchache

Sande sana Daktari

Umenielimisha Theuri, salimia Dagitari sana