mzee wetu rika ya vasco da gama ameingia jubilee,nyinyi je?[ATTACH=full]52157[/ATTACH]
sisi tumelie low kama envelopes
One term regium !
touche
let bygones be bygones,hata wewe karibu member
Niko team ya huyu
[ATTACH=full]52159[/ATTACH]
Msaliti wewe, nyinyi mulifukuza mama saitani.
Msaliti wewe, nyinyi mulifukuza mama saitani.
Moi is unsalable to the masses. Huwezi taka ona Ile siasa chafu inaweza chapwa msee Kama huyu akiwa candidate. 24yrs scandal after scandal hawes make…kwansa hii ya Strathmore University
tulia shemeji,itisha runoff
2022 ndio tunadai. Sio hii ya next year.
Kumbe unajua vasco da gama ni nani na ndio vile unakuwanga ana ujinga ya mtu hajui tofauti ya slippers na pati pati
maasailand iko locked [ATTACH=full]52160[/ATTACH]
sitaki muhahe
kwani umewachana na Ababu
Accept and move on, in the mean time tulia na upewe busaa kwa bill yangu
Ok. Kwa hivyo wangoje baba yake akufe ndio memory zao ziwe zimekufa pia?
Tunamuombea maisha marefu. But scandals za mzee sio za kijana
Ababu si ako locked Jubilee?
[ATTACH=full]52164[/ATTACH] [ATTACH=full]52165[/ATTACH]
[ATTACH=full]52166[/ATTACH] [ATTACH=full]52167[/ATTACH]