VACANCY NEEDED TO BE FILLED

@wakahuhu is looking for a polished ktalkresses who will go to dinner with. The reason I’m posting about this (and forgive my bluntness) is because most; if not all of my female friends whom I could take to dinner might be foreign to the delicacies that will be at our disposal and as such hao naeza aibisha mimi!!

Well ktalkresses if the invitation will be new; then on that day you have to act well groomed. Sitaki nikifika huko and then my date anauliza waiter kama kuna osuga ama mokimo ……ama aseme “hii chakula haina chumbi”…you say “pass the salt please.”……and tweng like you’ve passed through UNI once in a while… usijikaze kama watu wa Nairobi diaries.

I’m looking for a person who can utilize cutlery efficiently. si ati wewe unatafuna tu chapati kutoka kwa mkono alafu nauliza maji ya kunawa…(dissect it with a knife and fork.)……you stab the meat ball with a fork using your left hand and amputate it with a knife using the right hand…cut it diligently, sio kama vile wanakata nyama kwa butchery ya @Wakanyama

Finally, when you are asked which foods you like…for my sake, don’t be honest (danganya). Apana sema madondo siagi, chapo Benghazi… Hio tabia tutaachia ule mjamaa wa Kitusuru…… Talk of lobsters, talk of crabs…say that your favourite cuisine is merinated lobster with pineapple and sweet pepper compute and lemon scented coriander couscous. (Heh! ata mimi sijui hiyo ni nini)… lakini just cram it. Any lady who can act the part…get in touch….

@Jirani , @Purr_27 @Guru @Akeelah @Female Perspective @Nefertities @msalame grace @uwesmake

Ps. niliona kale kam jamaa ka Heil hilter kwa kibanda Fulani! HUHU

[ATTACH=full]27298[/ATTACH]

9 Likes

Chokosh nilikukataza ukome kuni mention mention. Quit @-ting me chokosh

1 Like

hehehe…
hapo ndio idlenesss umekufikicha?

1 Like

HUHU ongea na @Unicorn

1 Like

At least Leo umekumbuka kuchange handwriting.

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D

@wandahuhu naona umejitolea kukamuliwa na @Female Perspective kwa kunyi… haya, shauri yako…

1 Like

:smiley:

HEH! Ni tree holder ?? … Navile nilitupa Ndwano kwa inbox :D:D… Nitajionea mambo hii dunia

Kwani siku hizi hamtaki watu wa mjengo?

2 Likes

This guy is kabuda hajarudi mayuu. Uwes is not this creative kapsaa. Niaje @uwesmake?

4 Likes

Uwesmake can’t type in English hiyo kwake ni greek

7 Likes

:D:D @uwesmake ati huwes write essay ya 300 words in English?

2 Likes

HOMO WEB DEV NITAKUTOA INSTAGRAM

2 Likes

i agree. but swali nyeti ni, kwani jirani na uwesmake ni ma nunu holders juu lazima awataje

2 Likes

Twende nikupeleke dinner kwa kibanda ya mama odhis ukule ugali matumbo na uteremshe na uji moto najua utapenda sana

1 Like

hehehe…
ebu niwekee hiyo mkono tena niikague.
unachapia mjei mtaa gani?

1 Like

Nitoe, handle yangu ni konokono, alafu unirudishe. Just for proof Ango.

2 Likes

[ATTACH=full]27301[/ATTACH]

8 Likes

Mgani my DEER…

@wakahuhu ni @Ka-Buda …Verified.

1 Like