Uzito wa Mwanaume ni kiatu.

Juzi tulikuwa tunatembea na oomf nahuko Nakuru majamaa wakatusimamisha kusema
“Brathe hio kiatu yako imekubali”
Ndio nikajua kumbe mwanaume ni kiatu, na msichana mrembo, (na wallet) but sikuwa na wallet.

Chamige mising…

ulikuwa umevaa sneakers na 3 piece suit?

ulitambulika

[ATTACH=full]168473[/ATTACH]

Hio tu ndio umeona ni muhimu kupost afadhali ungepea watu bets sure.

The chamge is missing:D

:D:D:D starter pack maneneoz!
Team cheget hoiyeeee!

Elvo, ni wewe ule msee wa solar panel haiwezi charge juu kuna nyesha?

Kiatu tu?
Si ata afadhari ungesema gari.

:D:D:D:D:D:D:D niaje mkale,hizi ndio viatu ulikua umevaa…

I denounce my crush for kalenjin men… :D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D Mkale ni sporty.

Bado unauuza bundle mwitu?? hahaaaha nakumbuka a few years you were begging me for 4gb safaricom IMEI numbers

:D:D:D Atitas.

Wapi mbisha ya fyatu ndio tuone kama unatosha?

:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:

:D:D unataka kuniruka jinsi petero alivyo muruka yesu

Hahaha mistaken identity