Uzi wa kusimulia matukio ya kuwakimbia wanaume wanaotisha baada ya kumkuta ndivyo sivyo!

Dada jaman nilifanya dhambi sitarudia tena hahahahahaha

Hahaaaa. Lol.

Hahaha

Afu wote ni wazuri, hakuna polygon

Hahaha,Wakati usikute wengine humu,hovyo …

Ndio uhalisia mkuu, siku tukitumia ID zetu kamili jf tutaona mengi sana

Hahaha, tutaona vikaragosi nakuambia

:smiley:

Pole sana…

Cc: @Mahondaw

@Demiss bado upo kwenye hiu uzi???