Uzi maalum wakumshukuru aliyekupa taarifa ya uwepo wa JamiiForums ndani ya KenyaTalk

Ha ha ha ha Acha kabisaa yaan ngoja nmsubir aje

Kwa matangazo yanavyoenda isingechukua muda mrefu mngejua tu.

Mimi huku niliwahi kuwa memba, sasa kulivyozima JF nikajaribu kukumbuka password nikashindwa, ndo kujiunga upya.

Mods wa humu jamani waboreshe na emoj zao sasa. Hahah!

Kwan na wewe umeeita wangapi?

Ndo uniandalie hiyo commission mkuu.

Hata mim imenikuta hii nmetafuta id na pw nmesahau kila kitu aisee ila kuanza upya sio ujinga

Ndo vizuri

Hahaha emoj imekaa kibishi sana

Anza na mimi basiii

Akikujibu nitag

Ila sjajua privacy ya huku ni sawa kama ile yakina melo

Yaani Jumatatu nilirudi hadi Nairaland, nako nikajikuta sikumbuki chochote ID na password.

Mambo ya network marketing hayo mchumba

Sanaaa alafu za kijani

Nafikir Kenya Talk wanafurahi sana hii traffic ya New Villagers kutoka JF

Yaani naiona JF kama imerudi aisee.

Hahaaa. Hamna kitu rafiki.

Nimekaa tu nikajiwazia wale wasio na wakuwapa taarifa itakuwaje kuwaje.

Mnaotaka privacy msitembelee jukwaa la siasa tafadhali. Tushindeni chit chat na mmu tu kwa muda huu