Uyu MGTOW si Aseme tu ukweli

Aseme alimwaga:

https://x.com/Haaland_sholla/status/1760217573486948785?s=20

2 Likes

…but kinyozi ndio baze ya kubangaiza, hapo ndio Kuna Wana siasa, swala nyeti…discussion ni kwa Barber shop, hapo ndio Kuna magazeti na wachambuzi…hapo ndio you get informed on what’s happening in the global arena. Hapo unapatanga jamaa anajua Kila kitu kuhusu Ruto Hadi unashangaa. Wanawake wakae mbali…upoko ni kwa brothel.

2 Likes