Leo nimeamka vizuri mission ni kwenda hustle tao kiasi. Sababu Ka Nissan kalikua chafu sana, nikapeleka carwash for thorough cleaning. Expected time of picking ni saa Tisa so nikapanda mat. Kufika Bellevue, Jama akaingia na peremende. Vile nimezoea, tropical ni nne Kumi. Nikapea jamaa kumi. Akanipea tropical tatu. TATU!!! Nikamuuliza kwani tropical moja ni 3.33 bob. Nimejam sana hiyo sio peasantry but sipendi jamaa akinibeba ufala.
Uncle peasant unasumbua
Enda kwa police station useme umeibiwa tropical moja
Hii serikali ya jubilee itauwa sisi
It happened on me while driving on Uhuru Highway, the “jam” had fungukad na kwa ile harakati ya kudrive in haste usiwache nyuma, the guy gave me three tropicals only to realise later.
Classification complete!
Genus: Peasant
Species: Peasant peasant
My Friend naweza kulipa mshahara anyday papo hapo ukinisurprise bila kusonga.
We all have that peasant mundu in us from time to time no matter how loaded you think you are.
Sasa baada ya hio discussion yote na muuzaji, mbona hukumwambia hutaki kila mtu arudishiwe kilicho chake?
@Female Perspective, waitwa…
We do leave tips na hatusumbui,meff.
sasa si you beat that thieving hawker at his own game uwe unajipeleka wholesale, unanunua packet mzima halafu unachukua nne kila asubuhi…ukifanya hisabu utakuwa unanunua kila tropical one kitu bila stress…![]()
Mwalimu karibisha mimi na kachai, ama haupendi momo?
Ha! karibu, mwenyeji mzee:)
Nliuziwa juicy fruit 40/= wezi tupu
matatiso tumeyasoea
Better hio type ya wizi kuliko ya mabavu.
I think bei ilipanda cause nilianza kubuy za matatu zikiwa tatu tano i.e 3 for 5 bob huko peasant vile effects za soko zimeingilia kati
Umewacha wapi bwanako dollar birriyoneya @rollout na in-law wako @Rolling Stone
Shida yako ni nini kijana?..you get a hard-on from mentioning me ama namna gani my fren?..nkt, ondoa ujinga mbele yangu.