Pigeni kura zenu zote
kujeni nyote tupige hii mbusi ya yellow
Admin ni too petty. Hio picha uwes aliweka si mzoga but a living person. Ama hio ilikuwa nude porn kwa admin?
Wacha tupate break chokosh amesumbua @Nefertities
The problem is not the picture. It is a personal beef between uwes and admin. Uwes probably told amin off.
Hata hii vote nimeboycott
What did uwessmake do? Am not aware of anything! Pls let us be serious!!
Off! We dont need ur vote in this case
Uwesmake was 1st banned within 2 months of joining ktalk. I don’t know what the nigga does to attract kalamu since I see worse with no action from mods/admin.
Let the moderators be kindly moderate, admins be kind administrators, and ktalkers (NVs, VEs, SVs) be respectiful
nime vote La
Sawa jirani. Lakini si tuko village moja? Kumbuka nyumba kumi jirani. Your vote your right!
Huyo mjamaa klist nilikuwa nadhani ni creation ya the late admin ndio aentertain kijiji na hizo bans…kumbe jamaa hawezi ishi kwa amani na serikali
Lakini sikuona akiwa na vita. Nilidumisha amani na yeye!
Piga kura. Wacha mambo ya mbuzi na yellow… au umekula mbuzi leo na hii ni januari tunakula githeri na avocado?!
Kuna clothed porn?
A wanker fighting for his right
Iko
Uwes amefanya kijiji iboeke. FACT. Just look at the traffic of comments since he was given left jab. Ikiwa akina Jay Ni ma bigwig hii village,why no traffic even to the threads they post?
Admin should learn that some talkers ain’t helping him keeping his village as the meeting point of most Kenyans. And others do. Like Uwes.
nime offer kukua mediator between @admin na @uwesmake