Uwesmake @ times wachanga vako

Sioni hii place ikikaa anywhere close to an airport

[ATTACH=full]24426[/ATTACH]

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D MBLO UMEENDA IRAQ KUNIMALIZA, BUT SERIOUSLY HAPO NI KIANGOMBE NA NYUMA YAKE NI AIRPORT .

ulifika abu dhambi?

1 Like

Hehe

Huko ndio ndunia gani? hehe, nko frontline hapa

hio forehead ya huyo nefertiti inaeza land boeing so uwes ako right kusema ako airport

4 Likes

:D:D:D:D

Uwes,sijui Nai vizuri lakini Kyangombe si iko on the right side of Msa Road ukitoka Airport. How is it that nyuma yake ni airport? Aaaiii

CHIEF UNAJUA FLIGHT PATH KO WAPI ? KIANGOMBE IKO KATIKATI YA FLYPATH SO TECHNICALLY IKO NDANI YA AIRPORT

Then hata Ngong Hills ziko ndani ya Airports…FLIGHT PATH inanzanga huko.

Ata Utawala iko kwa flight path kwa hivyo iko JKIA.

machief kindly ingieni kwa kamusi musome maana ya katikati na kando

there’s a place in Juja you can see where the ndege turns to head either to Southern Africa or Asia & UAE