Uwesmake anasumbua

Watchman armed with a machete paralyzes
health services at Antubochiu dispensary in
Igembe South demanding 14 months’ pending
salary.
[ATTACH=full]77667[/ATTACH]

14 Likes

Murume apantambua ujinga, wakina Kiraitu waache umeffi

Huyu ni @burjman

1 Like

14 months zote? pia yeye akona mchezo

2 Likes

APEWE HAKI YAKE

Hehehehe…
Christmas after christmas…

Huyu kishwa ni kuruka imeruka (baite accent)

5 Likes

Hio side ingine ana ile sword ya Jon Snow, Valarian Steel. No wonder hakuna mtu anajaribu.

4 Likes

The unfortunate reality for most casual staff in the counties. Kwetu they’ve been reduced to begging.

1 Like

Very sad

:D:D:D:D:D sasa mimi mtu ya kimilili nafanya nini meru

Watchman tulia

ISORAIT

valyrian steel…valarian labda ya matope

2 Likes

Sad to say, but huyo jamaa analipwa 10k at most… Akina @luther wanagoma na hatuna any arrears with them…

@Luther12 kwani huyu ndio boss amekataa kutoa pesa?

:D:D:D:D

Nashangaa pia.

Hii tramontina machete

http://www.discountcutlery.net/assets/images/ProductImages/TT-522.gif

imeleta balaa sana kule.

1 Like

Amputation pap

soon everyone will be saying “lipakamatender”. Btw, kesho council of governors wanafuta sisi.