Hi gari atawahi fika A-spot kweli na vile imekiwa the new craze?
:D:D:D
Nimemiss mutura na nyamchom, shemeji. Lazima nikule kwako. Pigsty utanisaidia kujenga pia
Huyo dem ni saizzzzz yangu Kapsaaaa
Hee he true uwes pengine awe the most dharaud talker :D:D:D:D , Mr bull fighter
niaje beautiful one?
I am fine Love …Lent manenos…did DO1 salimia you tulikuwa na yeye digitall butchery huko ndunyu
Enjoy that song this evening cheers :):)![]()
usikubali akudanganye ,tunataka mahari ya madollar kutoka kwa @kilo_ nimemupea warning albeit subtly kwamba hata Mimi ni former special forces asiletee mchezo
Sijakuelewa apa
Huwa namuuita hivyo
He he hizo madollar hata mimi sijawaizishika…
utangoja kweli dear kwa hiyo project ya pigsty proposed above fanya mark vizuri ,we expand the hacienda @ Santa Fe ,build up a pool and add a wine cellar ![]()
Hii ikus utatafuta kama wachimba migodi ikolomani