Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

Hata mimi nilifungua lakini ghafla naona wamefunga tena

Unanitukana Kikenya siyo?, yaani kukaa siku mbili tatu Kenya umeshajua Kikenya?.
Na mimi nikutukane Kikenya?
Umbwa ghasia takataka we! (joking)

Ungesubiria kidogo…kilichokufanya uje haraka kuanzisha uzi ni nini??

Pole sana Mkuu.
JF kwangu ilikuwa ni darasa la kupata maarifa yaliyoshiba, hata kama nilikuwa siko online kwa kucomment mijadala mbalimbali, nilikuwa offline nagoogle madini yaliyoshiba ya JF, sasa hivi hata ukigoogle hupati kitu, dah!!

[FONT=courier new]Halafu ’ mkitukanwa ’ mnalalamika. Pumbavu![/FONT]

[FONT=courier new]Na kibaya zaidi ni Mtoto wa Kiume sasa sijui tukimwomba ’ Nyabe ’ lake ’ tumtambalizie ’ atatuona wabaya! Mtoto wa Kiume kuwa ’ Mbea ’ ni hatari sana kwa Afya[/FONT]

HEWALA.

ASTAGHFIRULLAH.
Neno ‘umbea’ limekukaa sana mdomoni mwako, maneno ya kike yamekukaa sana mdomoni mwako, acha hizo, wanaume huwa hatuishi hivyo.

Katupeleka speed mbayaa!

Haijarudi hewani bado… though kuna muda inafungakuka baadae inajifunga tena…

Cc: @Mahondaw

Alikuwa anaota lakini ndoto zake huwa za uhakika

Inatia natumai ni labda kabla ya July itakuwa tena hewani na hivyo kutuwezesha kufunga virago vyetu huku ukimbizini.

kuna njitu humu zimeiba ID za watu jf halaf wanatusua nazo humu na kule BF lahaulaaa hawajui kama zinasakwa na tcra/lumumba, hapo ndo utashangaa mwiz anakiri kuiba na alieibiwa anakana kuibiwa hahaaaaa. M simo yan n sawa na kutoboa meli haraf umo ndani.

Kafie mbele uko. Hatutoi KIKI

Nani?
We’ unadhani natafuta kiki?, umaarufu utanisaidia nini?, sipo hapa kwa ajili ya sifa. Nipo hapa kwa ajili ya kuhabarika, kuhabarisha, kuelimisha, kuelimika na kuburudika.
Ni kweli ukiingia JF saa nyingine inakuwa iko ON, saa nyingine iko OFF. Nimeshuhudia kwa macho yangu, wala sizushi.

Mkuu usicheze na Hisia zetu

Huwa sina time ya utani, ni serious Mkuu, leo asubuhi JF ilikuwa inapatikana, mara haipatikani.

Badilisha avatar hiyo mkuu inakuletea mauzauza…

Inaniletea mauzauza gani?, inaniletea mauzauza mabaya au mazuri?.
Ukifafanua vyema nitaibadilisha.