Rais Magufuli ateua msajili wa vyama vya siasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa msajili wa vyama vya siasa badala ya Jaji Mutungi.
Rais Magufuli ateua msajili wa vyama vya siasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa msajili wa vyama vya siasa badala ya Jaji Mutungi.
Wakati mwingine wakigundua mnamchukia mtu na siyo sheria anayotumia mtu, hubadilisha mtu na kuacha sheria iko kama ilivyokuwa! Tatizo siyo mtu bali sheria ya kujinga ya kuwa na msajili wa vyama vya siasa. Hivi kusajili vyama vya siasa inakuwaje ni kazi ya muda wote!?
Mtoa mada somavizuri, ni hivi, Rais Magufuli amteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar.[ATTACH=full]178034[/ATTACH]
@Sijuti usimlaumu mleta mada kwani hao ulioleta barua yao wao wenyewe ndiyo walikuwa wanaona kichefuchefu kuwepo kwa JF. Sasa watu wanaokoteza habari ama wanaleta kama walivyozisikia.
Ndiyo madhara ya kutojua kusoma na kuandika…
Taarifa iliyotoka inasema Rais Magufuli amemteua Bwana Mohamed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa vyama, kwa upande wa Zsnzibar
hahahaaa, kweli mkuu
Elimu,elimu,elimu.
Hapana naomba kutofautiana na wewe. Tanzania hatuna tatizo la sheria bali Kuna tatizo la watu. Hakuna mwenye akili timamu, anayefikiri kwa kutumia kichwa sio tumbo atatekeleza sheria mbovu kwa sababu tu sheria inamtaka hivyo. Ukifuatilia wengi hutekeleza sheria mbovu kwa faida zao wenyewe.
!
!
Sisiemu Iliteua Sisiemu Imetengua. Jina La Mtukufu Magu Lisujudiwe