Utapata alikua Strict/Moto wa Kuotea mbali na offspring wake

Vile hawa Parents strict walikua utashanga vile waliflip/wanakua softest and coolest kwa wajukuu

2 Likes

Huyo ni @FieldMarshal_CouchP amewekwa busy na wajukuu Hadi hachungulii kijiji. Tiktok rob our elder wa whitecaps.

1 Like