Utamu Ya Ndoa

[MEDIA=twitter]1622970807738589184[/MEDIA]

You deserve what you get if utaacha mwili umake decisions.

:D:D:D

Monogamy problems.

You also don’t train your wife to talk to you hivyo. Lazima heshima idumu. Marrying low level uncultured hoidrats ambayo hata lugha safi hawana is a big problem

Kisha you must not be caught cheating so that it becomes a common theme.

I once had a lady who told me that I give money to other women. I asked her to expound akashindwa. Kutoka hiyo siku I cut her off nikamweleza Iko takataka I don’t entertain.

Very early in a relationship you must set red lines and irreducible minimums.

I have a feeling vijana under 35 wamelemewa na wanawake kabisa…how on earth would I allow a woman speak to me like that?

With antiquity comes wisdom. Maisha yako yote huwezi sema hujadeal na dem anakuongelesha vibaya and you let it slide.

True
Lakini bibi yangu hawezi niongelesha hivo…hatujazoeshana hivo

Hahaha

Kuna vitu ukishashika mwanaume alifanya na ubaki kwa hiyo ndoa lazima umkumbushe
1)Usisahau kuvaa mpira naona vile kunaenda utatugonjesha sisi wote.
2)Baba X kumbuka kuendea sindano ya hepatitis B nataka kuona wajukuu.

What happens when you are the uncultured swine?How do you give shit halafu umwambie “Kuna taka taka you do not entertain”

If of course every single rule you make you break then you must understand as the owner of the relationship,she was not dumb to question your stupid policies,just smart.