night running time is here…
all night runners rise and mark the register. your sacco is open
Present…
Absent…
Adolescent .
Westham inauwa nyoka…
50 bob yangu inaenda hivyo banaaa
:D:D:D:D:D:D:D lakini watu wa sportpesa leo watalia najua ngombe mob ziliwekea chelsea , england ni tricky
Leo muhindi atakula msuuri:D
Ati Chelsea wanafunguliwa poot?
dwyfwy
saa hii nachuja watu.
kaa hujalipa wewe inje
wacha nilipee December nilipoteza ATM ya Posta
Man Utd imekamua Nyoka…
Nimeona hata manuseless wanajaribu ku shed the useless tag…
@Meria Mata dabali ile nilitumana ulipata? Kama ulipata consider my dues paid till we swear in the new senyetors minus the mwomen reps…
noted
timbiti coming up
[ATTACH=full]64506[/ATTACH]
Tuko tuko hapa hapa tu.
Baridi ya Kitale inanikosesha usingizi…
Gift
Gift is the same word as present.