usiku sacco

Leo ni sato weekend ina wapeleka aje? Markini register

Present. Fala twelof imekubali kupeana funguo

Niaje Xtrail
My Mitsubishi 4D31 iko na shida ya brakes, please advise

4d31 sina experience nayo but general we check surface ya lining iko aje drum ziko aje booster inapata pressure yake cylinder za mguu ziko aje alafu check the upper brake kit inspect for wear i usually use a mechanic we can reason/challenge together till we find the problem alafu ukikanyaga brakes ziko soft or hard this infact will be your direction to follow first

Check booster pump, yaweza kuwa rubber seals zimechapa mostly due to poor quality brake fluid, ama free wheeling which causes too much strain on the system while braking, brake pads make sure zimefungwa as per the slot indicated, sensor Ya abs irudishwe otherwise utafeel vibrations kwa pedal,
Nitatoa lock wapi nyali?