DO 1 alipewa mguu ya ngombe na Jirani yake mwislamu na ashanza idd al adha, how was your day talkers na kesho utasherehekea sikukuu aje, hapa coast fridge isha jaa miguu za mbuzi.
Idd Mubarak to all my Muslim brothers
vidze tsawe
Niaje boss, Jana a friend of mine was buried in Tezo
waaah nilitoka huko kitambo…ningekuwa huko ningekupa mtungi wa mnazi
Been invited for Eid festivals by a friend tomorrow. Sijui itakuwa aje?
How are you night runners?
why did they have to make kesho a holiday nkt? madha atakua kejani ![]()
:D:D:D:D:Dserreee
Tuko macho, ghost town this side coz of today’s scare, how is it across the creek? Ata bodaa hakuna
Too bad hio mtungi haiezi last more than two days, hope @Gio makes and patents a preservative for mnazi
mimi nko hapa tuu napitaa. hii itakuwa a working holiday
you mean…?
Nikoniko.Tukotuko.Leo nimejipumbazapumbaza na mandhari mazuri baada ya kutoka kwenye ibada.
Niko. Watching some 9/11 documentary on Nat Geo shannol.
Hapa across the creek naona Marwa’s boys wakichapa ma laps kwelikweli…Wanataka kutia hawa Los Pepe adabu. Wakule dengu kabisa.
@ my Hacienda
‘Mother will not go job coz holiday’… Kwa kifupi
Biz is slow hakuna wadhii. And then they went and lit up the streets… Its no longer business as usual.
Very quiet for a holiday eve. Not fun @Meria Mata
:D:D:D:D:D:D:D kama turungi ya ndizi au ni ndizi turungi?
mnaishi na matha? smfh
Yep, unashida?
Thupa gana na shirini