usiku sacco

Nimekuja nikapata kumefungwa nime endea,ufunguo hapo security ndio nimefungua mark register

Hayeeh!!!

poa poa

Karibisheni mimi.Lakini kiti sikalii.

Karibu lakini
[ATTACH=full]55359[/ATTACH]

Mi niliingia nikaketi pale nyuma kwa giza sa niko karibu kutoka.

1 Like