ninaonelea bingwa apewe star moja atulie amejiongelesha ya kutosha, na pia wakanyama
sacco is open, mark register
uncle uwes nimeland bukusu shepart in tow nimeiacha hapo nje na kermitscrotum , nawatch sampdoria ya @123tokambio ikifinywa dryfry na messi
Mulale poa.
kamuliwa unono
fixed
Kuna wakati Sampdoria ilikuwa moto wa kuotea mbali Enzi za kina Gullit, Seedorf na Karembeu. Wakati huo Ulikuwa Kimilili Kiminini nursery school
Present Fara hii
Barcelona v Sampdoria
45:00+08:12
3-1
Kama venye ngombe ya wenger @uwesmake imesemaā¦sampdoria wanapokea makamuzi ya hali ya juu
He he heā¦
Kumbe kuna Kimilili na Kiminini. Imebidi niconfirm kwa maps. Kiminini inakaa tu kumejaa Mifupaā¦
Total black out in county 001
Naomba mtu asambaze kaumeme
Am using xtigi now
i thought the xtigi can power even a desktop computer
Only gd for one bulb
Across The Creek sisi tunakuwanga na solar power. There has been no interruption here
Present sippin my viceroy
Nshakojoa naenda kulala
Was deep asleep until shetani fulani decides to call me multiple times midnight banaeā¦been awake since. Lakini kausingizi kanakuja tena. Wacha nilale