sacco is now open
mark register
Ndani ya nyumba…Hayeeh!!
baridi nyeri is too much…i am off…
Nakaukia ndani ya mash
Baridi mingi but hakuna kulala
present…
Ata mombasa Leo kuna kabaridi.
Safiri salama @mukuna next time use dreamline
Grinding to pay bills
Kibaridi Mambasani. @mukuna hope umebeba jacket juu bara naskia sio mchezo.
N…i…po. …Nipo! Nakazana lakini macho yamekataa.Katakata!
7th shot. I am not disturbing anyone.
Usingizi imenichenga! Tyrant sn 3…episode moja ilete usingizi!
Niko na kîgoti mzito
Asante. Nitaijaribu kwa safari ya kurudi