USIKU SACCO

Ni masaa ya night running.
sacco imefunguliwa

Locked

Chelah yegon, wapi video

Niko

@kawambui alienda wa?

@Purr_27 pia wewe unadai

Eeeh :stuck_out_tongue:

Haayeh!!

Ngoja waeke telegram kesho natupia wewe inbox

@Mzee mzima, arson watch… Mko wapi leo?
[ATTACH=full]49895[/ATTACH]

Nikoniko.Tukotuko!Nimezagaa kama mawimbi baharini tayari kwa mbio za usiku.

Time check 22:33 Hrs

Hapana usingizi leo…unangoja mwanamke uje umfire alafu anakuambia ameenda kuona mamayake…siet na saio amekuambia ako njiani na ushanunua Condoms…siet!!!

Ni @Jazzman (Standing in for Legend mwenyewe E-Sir)

Pewa mbili kwenye kichwa

Lyrical tongue twister

Na Mr. K.I.Swahili

Nani ako na shida na mimi?!

I LOVE GENGE!!!

(Even though the song pre-dates the term genge in this context)

22:41 karibu kuzima taa

nipeane ile username yako uwekwe kwa mahiti sacco?

better hakikisha ni mamake…dunia imeharibika…

Hehehehe, Present.

Kuhakikisha tena? She aint my Kid:Dwhy should i care

ITA @junkie UMUKAMUE