Mark Register Night Runners
[ATTACH=full]45675[/ATTACH]
Hehehe,
Nangoa watu saa hii.
Hii kijiji is coming alive now.
[ATTACH=full]45677[/ATTACH]
Tupo, watching Portugal ikikamua Croatia. Euro 2016 starting to get interesting.
Npo npo … Nani amenionea @Female Perspective nko na taki ya nini
Fala hii…are u watching the game really? Portugal wamelemewa… Mimi ni team Croatia
Fixed.
Present Fala Kumi na mbili
Portugal inakamuliwa tu
Mimi iko area… @Electronics4u leo si uje upeane ruhusa ya matusi. Jana Matusi Night was epic… We shud have that every Friday
@ Jirani bona unanitukana ng’ombe hii. Kwani Blaze hajakukamua ya jioni bado?
As long as it is still goalless am entitled to my opinion.
Sasa enda uhare ukalale.
KAINO TYPE.
Heheh…this is now patented.
Present fala flani. On hutia mundu
Niponipo.Tupotupo!Tupo kwenye jengo. @Fala 12 tumeyanakili majina yetu kwenye daftari ya Leo.
Watu wa draw sportpesa tuende mpesa agents
Woi pesa zishainama juu nlibet 1-0 crotia after 90mins… Hizi ngombe Portugal wanataka kwenda penalties lakini Hakuna shida cr7 atauzaa pena tuu
Time check 00:15
Penalties zanukia!
Croatia inazubaa aki…!!
Hizo open chances zenye Vida ametupa jo… Perisic pia amecheza chini leo…
Mbona Hawataki ushindi?