USIKU SACCO

A new week is almost here…lets end this one nightrunning on a high note…
sacco open mark register

Time check 22 : 33

Niko hapa nimekaza kukaza Hadi half time Both Euro games… @Jirani unaonaje hii team yako?

1 Like

Kumalizia na reggae Sunday…

Switzerland vs France
Pogba is a beast

Mimi sina usingizi. Na nilikataa ubaba wa kuwatch ball.

4 Likes

present…hakuna usingizi

“It’s the spirit here thatccounts. The time may be long, the vehicle may
be strange or unexpected. But if the dream is held close to the heart, and
imagination is applied to what there
is close at hand, everything is still possible.”

A quote from this book I am reading “All I Really Needed To Know I Learned In Kindergarten”

Present ndio kungoja supper iive.

1 Like

Niliekelea na kusahau aki. .

Hehehe… Uliekelea aje? Though Romania - Albania imeniponyoka

uncle uwes hangover inaniuwaaa

Hujakufa bado?

TOMBWAA NA @junkie

Hehehe…Hio tabia yenu ya @junkie na @Atwoli naikemea kwa jina la yesu mwana; na ukufe haraka.

sasa @Purr_27 wa mine, umeshindaje?

1 Like

saa tano? kuna watoto wanangoja hiyo supper?

kama kawaida tuko tukiendaga…

Niponipo.Tupotupo. Kutazama mechi za Yuropa.

Watoto walikula na wakalala.

1 Like

WACHA KUSUMBUA WATU