USIKU SACCO

wazito wa cord kwani mumeingiza njeve nini munacall off Tear gas Thursday na venye @pamba alikuwa ameshaweka teargas kwa bag akijitayarisha kuwanyorosha…
sacco inefunguka munaeza mark register mpaka che.

1 Like

siwapigane kesho am off. Sipeleki ndege.

1 Like

Time check 22:30

muchamaa kwani ulikuwa upeleke ndeke yako university way?? lakini ni sawa pia uko off uendeshe ferrari ENZOY yako

NIMEONA UNCLE YANGU WENGER NA HOULIER WAMETULIA WANA WATSAP DECHAMPS AINGIZE POGBA NA KUCHANGE FORMATION .

FRANCE 2 - ALBANIA 0 FINAL SCORE .

1 Like

Niponipo.Tupotupo!

Naomba rights za kufunguanga USIKU SANA SACCO because I have realised birrionairres the world over don’t sleep @admin leta form hii usiku sacco by 2330hrs peasants wamelala

1 Like

@Fala 12 kutoka kesho weka real register ya members… Ndo tuwe tukijua nani yuko na nani hayuko.

NIAJE MUNGIKI

Giroud ujinga ya Arsenal haijamtoka bado

Treasurer ameingia

Apan tambua Albanians. Chafua hadi ndani hata kama ni bao la kimazarau

WESTHAM WASAHAU PAYET…

POA SANA MR. RODMAN. HABARI YA MBWA?

Nugu ingine hapa inapiga simu saa hii eti keja yake imeflood.
Sasa usingizi yangu imehepa.

nani amekuuliza ?

1 Like

Uko na ujinga sana wewe naona mahali shida za dry spell zimekufikisha.
That’s the reason Niko hapa.
You cnt read between the lines yawa?

Present 1.53

@junkie uko na compe hapa

:D:D:D