USIKU SACCO

Night Runners sacco open…
mark register

Present…

Present. Fala hujadedi?

1 Like

chewing the cud

Off to sleep

ha haa daktari kwani uko na hamu ya kwenda disco matanga nini?

1 Like

present, and switching off…

Present ,sycophants wanaumia kwa cell for the next four days ,wakanyama unaskia hii maneno ,pia cord morons kimbieni muthaiga na hakuna bail.

Eeeh…tena nilie sana nipate sympathy slices

Time check 2:51 na bado niko macho. Hii insomnia itaniua. Afadhali nirudie pombe, it’s easier to deal with a hangover.

Najua unaringianga mama watoto vile wewe uko na kitu ya maana hufanya kwa simu saa nane usiku. Fala wewe

the insomnia will be for just another week. be taking lots of water…