USIKU SACCO

Night Runners Night Farmers…
we the usiku sacco crew wish to honour @aviator with premium membership for her/his contribution today by launching the ktalk lexicon…

mark register

3 Likes

present…

Present

Nataka order ya spinach, kanzela (sp), managu, terere na kuku kienyeji… Very serious about this. I am tired of sharing with ungrateful neighbours.
ION, what has become of me watching football till last minute… Ubaba kweli…

Sleeping

nguku kienyeji mbesha ngapi

oriena papa nimeland shepart in tow tunategea klopp awue mtu . manchieth ibaki europa pekee yake

2 Likes

800-1k

ntapiga order sis ya uwes akitokea

2 Likes

Fuck dstv any slight rain signal imepotea niko kwa mess nasubiri signal irudi nione liverpool ikikamua mtu
[ATTACH=full]40844[/ATTACH]

3 Likes

[MEDIA=facebook]966617280100441[/MEDIA]

Nothing as furious as a Momo scorned

1 Like

hizo viti ndio zinafanya uumwe na spine,ambia uweskamau akutembeze Sankara,kuna couch mzuri,#heard from a friend of neighbours cousin.

4 Likes

Pewa zingine mbili, scores ni 1-1 at the moment

1 Like

wewe ni fan wa liverpool ama wa sportpesa?

2 Likes

…Present, correction its 2-1

3 Likes

Huyu ango ako na magnum na shepat na mimi sikubaliwi kubeba my scar naona tukikutana huko sankara na tulewe anaweza leta kazi mingi

1 Like

…actually 3-1

I like klopp he was the perfect wenger replacement fuck arsenals board

And the tables have turned wajameni??!!?
Liverpool being molested left right and center by Gameiro.
Hio haikuwa bao ya offside? How now?

chief sema who is leading, generator yangu imeisha mafuta nimeenda kwa bob collymore kuomba mafuta .

3 Likes