Night runners and farmers…
your shairman is back after labour day break labour kule greek alps…
mark register
ORIENA PAPA NIMELAND SHEPART IN TOW HANGOVER INANIUWA TUKIKAZAAA TOTTENHAM IKULWE
DO1 tunadai hekaya ya making history of travelling from Nai to Embu in three days…
And the holiday comes to an end, 'twas good got to kick back, take a chill pill and enjoy the time alone. Kesho we go back to the grind
Niko area kama bacteria…Niaje fala?? Welcome back umetuletea nini kutoka greek alps…??
Niko
team building ilibaba…
hizo ng’ombe zimefunga, sasa zitamaliza mbele ya team ya baba!
@Web Dev amekumiss
Present kabisa…
hio hata sijui itapeanwa aje bila kuchoma picha kwa kamtu kengine hapa kwa kijiji huwa nimenoki. bt tuseme tu nilianguka kwa mtungi ya keg ikiwa imejaa then nikashindwa kutoka
It was reported elsewhere that u were holed up in juja ukichukua slices from different quarters
Bwana Randy asande.
niko na nyanya nilibuy from @sunnymango
na nko na viazi, cabbage na muguks
hehehehe hii game ni moto!
hizo hata sio slices, nilichukua mkate mzima babaa
Checking in
tuko hapa. tunangoja payslip na wawekezaji wenzangu.
NANI AMEKUULIZA STATESMAN
Tottenham
Still around.