Night running time is now on. watu wamark register…,
small advice to those in flood prone areas; mlale kwa boat ili kukiflood mnafloat tuu
Present, mbona wanionea D O 1.
Kuna seasonal river hapa kwetu kukinyesha hua hatuendi works
present…nikiendaga…
DO1 vipi msee…mimi niko hapa. Ninapiga register mark… Halafu niendelee kukatakata kitunguu. Haiajanuka bado…
Earlier today i saw @Wakanyama akitoka soko UG, kesho supu niya ngombe za M7
[ATTACH=full]38680[/ATTACH]
Mzee ES ni kukupea solution bana.
btw your treasurer duties have been fully restored.
niko fiti sana msee wa tuktuk.
make sure kitunguu imenuka hata kama ni by force
Niko hapa natuliza mdogo mdogo nangoja mvua
Itanuka by force…tuktuk,keroro madeal hapa na pale…
Present
ORIENA PAPA NIMELAND SHEPART TIPTOEING TUNAWATCH CITY IKULE MTU HAPA
present… after hii game ya city nashikilia episodes mbili za series alafu nilale…
present… removing work
Kuna game imefanya nipoteze doh kwa multibet…jana tottenham pia :mad: :(
you gamble too?
Nimeintrodiciwa by my younger sis,ni hali ya kuhustle usinibrame
ku hustle muhimu
Niponipo.Tupotupo!Nazali malamu.Juma hili tuna tanzia ya watajika wawili waliotuaga.Twawavulia kofia Papa Wemba naye Mama Lucy.Walikolea katika taaluma zao tofauti na sasa wamekwea ahera.Hatuna budi kuwaambia-akheri Ndugu zetu tutaonana tena.
AHERA IKO WAPI AMA HUKO AHERO ?
02.46…still present can’t sleep
@admin nipee night time moderator bana… ata staki title