Prospecting this sacco for acquisition purposes nione kama nitapea @fala12 an offer ama itakuwa hostile take over. Night runners night talkers, sign the register… how was everyones day
Huyu mrembo wa lotto ako sawa…
my day was difficult but was made lighter by Jabuor…ati mitoto iliteremswa na sit!
Present??? Niaje murugi ([SIZE=1]chef[/SIZE][SIZE=4])[/SIZE]
Hi. Sijui niseme nini…
Its raining daily over here but the taps are dry, present cook.
OERIENA PAPA NIMELAND BUKUSU SHEPART IN TOW NAWATCH HAPA KIJANA WETU ORIGI AKIUWA EVERTON , shida ni moja , bibi bana amekuja amechoka bana amepika mchele si wali na si kwa, nyama , sasa nimekula tray mzima 1 hour ago nikashiba but saa hii njaa imerudi na fujo , sijui niingie second half jikoni ama niaje . ngombe clichy naye ananiangalia kwa 18 vile mama yake ameenda kulala . mtu anashibaje mchele itabidi niende kitchen after every one hour .
Hama, can’t remember last time I didnt have running water in the house, vipi @Randy nyumba bado unapaka rangi na kutafuta material @Mrs4thletter umenyonyesha jr
Talking to this guy attended a wedding in Dubai and was supposed to be gone for a week seems to have extended it na nikimuuliza kuhusu kazi nobody has been intouch…does that show how expendable his position is?
Nenda ukapike ugali itashikilia tumbo usiku mzima
KIMILA HAI NI ALLOW KUINGIA KITCHEN KAMA NIMEOA , CLICHY ATANICHUKULIA AJE AKINIONA NA MWIKO NA TUNAWATCH BALL NA YEYE HAPA . SITAKI AKUE KAMA HOMO @Web Dev
Hii ni hostile takeover haki ya Mungu. Yaani you want to have a forum for giving us recipe za kuchemsha maji ya chai na ya ugali? @Gio
Following very closely.
Hostile takeover!!
Wapi @Guru
Consolidating my interests into a holding co by any means necessary
MZEE MJINGA UMESOMEWA BEDTIME STORIES
Amepanga line chase bank Westlands branch
Present 3 star michellin chef @Gio… hii takeover…
[ATTACH=full]37693[/ATTACH] <=================================nimekaa hapo nijonee
Uko na ubao na bado uko na maringo ati huuingii kwa kitchen otherwise wait till he sleeps upike sembe but either way aroma ya ugali itamuamusha.
Napitia vitabu za huku due dil, hata KCB won the Chase