USIKU SACCo

Night Runners poleni kwa kuchelewa kufungua sacco mwenye alifunga leo alihepa na funguo.
mark register

Funda wewe, umenieka kutoka saa nne.

Present.

ION, ati guka alianguka kwa shimo ya kaburi ya agemate wake wakazikwa pamoja

3 Likes

alitolewo, anakunyua supu saa hii…

2 Likes

The waiting has been tortorous but niponipo,tupotupo!!

1 Like

Nachungulia nikienda kulala, nimekaliwa na mtihani leo

guka leo ame trend the whole day na #ferk@meriamata

1 Like

present, watching cctv… …hii petrol scarcity ya Nigeria ni ironical sana

ulipatia jamaa wa picha kazi?

Today my Samsung smart TV screen cracked due to some negligence by the house help; now am being told by customer service that the screen can only be replaced at a cost of forty k. Eti forty k!! @uwesmake Khocha saidia hapa. @Electronics4u any advice will do.

1 Like

chapa crack celotape jamaa

1 Like

Shortlisting will be done next week, sioni akimake cut

btw pia mimi natafuta kazi lakini ya acoustic siwezani

Am learning to stretch my imaginations on how the other distorted pictures would have looked like.:mad::(:mad::(:mad:

2 Likes

Unawes inbox field if we have such nitakuchanua

1 Like

Present… kuzubaa na CNN

will do right away

Hebu shtua @pamba akuconnect na Kavuludi;recruitment ya the boys in blue is on.

Niko niko. Gilbeys should be made our National drink.

2 Likes

Naskiza hizi wimbo zinacheza Hope fm, will leave the radio on at low volume…kisha nitafute hiyo audio bible like the voice intonations

i think nimepitisha miaka ya kujoin kavulundis boys even as a graduate