Usiku Sacco

Been away all day today, hebu nipewe update vile kijiji imekua.
How is Lucy Kibaki? How is Joho and chupilee? How is @wong doing in his dojo?
Nipeni uhondo wote.
Welcome to usiku sacco

dojo iko sawa,hata nimekamulia @Nefertities huko

4 Likes

Kujia Jameson buda. Niko hapa nafikiria Tu venye naweza wahi @Guru. Import her for me. At least niwahi hii manzi hii leap year. Muweke kwa CFS yako na uweke seal. Nije niing’oe.

5 Likes

@Jirani amenirudia baada ya kugundua @Lola- hana penzi.

4 Likes

Was just about to start this.
Summary

  • @karl max finally resurfaced with a hekaya not so sure to believe.
  • @Fala 12 met with @imei2012 and they took too many, he couldn’t open this sacco.

Hekaya ni mob leo sikumbuki zingine.

2 Likes

@gashwin hurumia hii afande siku moja niteremke Coast ndìmuonie nganga mbute

1 Like

@gashwin peana ruhusa mzae. Nikubariki.

2 Likes

@shocks na @Randy wamenirushia challenge ya sheng and i steamrollered them…

7 Likes

na uhike o kuo! ndinakuorota…

2 Likes

tema hiyo mate ulale. ndukende tuthukie ndugu…

Sasa hujipigi unanikatisia kwa nini.

1 Like

Mganga wa kijiji ni @jumabekavu

1 Like

@xuma Ni seer

1 Like

si ufanye hivo ndio nikiwa na kaproject kengine nikurushie?

1 Like

Nimesikia daddy

1 Like

Waiting for updates, naona maxx amerudi,
Nipeni uhondo

Weeeee. Ako sawa ile mbaya.

1 Like

Easter nisiku gani,
Swali from new import.
Bado nimefunga

1 Like

kujipiga kwangu utajua namna gani? we kaa tu hapo ukidondoa mate…ni gathee wonaga.

1 Like

Haiya huwa kanaweza ma stairo?

1 Like