chair @kawambui pole sana mzae jana kplc waliamua tukae gizani na mpaka saa hii bado nko kwa giza.
leo nafungua register tu nikipita nko na interview kesho na hata sijaprepare ya kutosha mchana yote nimekuwa mkutano ya wazazi shule.
sasa nasoma kiasi hapa na candles kama father ana-offer mass.
mark register wazito
na @Mundu Mulosi na @nairobilay hio swordfight mbio mbio winner takes all
Kwani second generation zimerudi? Meria haonekani siku hizi nawewe Fala ni kuchelewa kila wakati. On a different note leo nimejam tu sana. Yaani natafutia mtoi clad za nguvu halafu mathake anaclaim zimeparara. Ana-insist kumbaiya zile shati za wakamba za polyester na bright colors. Kweli ushamba ni mzigo. Wacha nirudi rounds naona taa kwa ofisi ya principal imewaka.
Present and Nite nite.
[ATTACH=full]33534[/ATTACH]
All the best tomorrow. Here I mark my presence.
It was (is) an ovulating day to soo many of us and @nairobilay has cooled some temps. I am also under someone’s loins.
wewe ndiye bwana wa @Mrs4thletter ?,
thanks. ninafaa nipite hii
hrhrhehr…
does this mean you dont get it regulary!
Present…watching from the sidelines
Kwani urikuwa na mifango gani?
kplc should bribe the rains to go away like the malysian airplane.
hawapatani
Any time my boy
Present its cold here in Molo. hakuna kulala Leo.
Present… waiting for fernabache to score at least one goal Nikuwe mtu pesa
Swordfights are for @Wakanyama. Remember im a classy man. Pistols at dawn!
[ATTACH=full]33536[/ATTACH]
@Guru you are welcome and goodnight
tupo and goodnight all…
shooting from the hip and taking no prisoners.
posho mill CEO Hana bahati
hehehe, elder wanichekesha, chunga mstali, apana cheza na elder statesman, am always around sniffing for news worthy items to post. check whats coming up.
yaani maisha ya journolist ni ngumu, i work 26 hrs a day
Nawaonea 18, sipping on kiereni waters natives…
Present teacher
Bet haijaharibiwa mahali so far. Sasa leta Athletico Bilbao na Liverpool. Meanwhile asande sana Aubameyang na Reus for kickin the shizzle outa Tottemshizzle
present,hii footsteps ya babu ya kungara ni ramakia