USIKU SACCO

karibuni kwenye usiku sacco KCSE results edition. mwenye ako na results aweke za hawa tujue walipata ngapi

[ATTACH=full]32817[/ATTACH]

4 Likes

Why do kenyans get excited with KCSE results? And four years down the line wale top performers hamtawai waskia mahali. Lakini ma D plus material ndo big wigs after 4yrs na wana ajiri hawa top performers e.g mike sonko. Hii kwanza ni form 3 drop out

4 Likes

nakumbuka siku niliendea results zangu all those years ago…ile baridi nilikuwa nayo hiyo siku sitawai sahau…kuna beste alifukuzwa nyumbani na babake juu aliweza tu D kiroho safi

present…

mimi niliendea result nikapata C+
ata hakuna msee aliniuliza tommy ulipataa nini kwa exam

same way nikikamua mkia no one ask me unajiskia aje :smiley: :smiley:

8 Likes

Present bwana DO 1 Sir

one thing I like about you TLS uko real and you don’t hate kuna jamaa mwingine Wa c+ kama wewe. A za watoto zinamuwasha na yeye alipita hiyo sector over 10 years ago.

6 Likes

Our education system is rotten brainwashing kids that if you don’t get a good grade to go to campo your life is over, I was brought up in that mindset my patents being civil servants both believed in that shit of getting a good grade…doing a good course and getting employed marrying a good girl and living happily ever after…that’s just bullshit

2 Likes

hizo patents mbisha ikam.

Present. Mimi nilipata A- na siringi… naenda kukojoa nirudi nilale

3 Likes

Mblesent na B- but nilikataa kuenda campo kufanya Being Around and I have never regretted it.

1 Like

Asante D. O. For opening the sacco, Kumbe wewe ndie u like a funguo, was about to go to CID hqs.
Anyway enzi zangu kulikua division 1 hadi division 4.
Ma distinction, ma credit, na ma pass.

3 Likes

pamoja na research notes…

[ATTACH=full]32825[/ATTACH]

2 Likes

Oriena papa nimeland momo in tow. Jameson inaniuwa nishakamua shot mbili mbicha mupate telegram

3 Likes

Chukua @gashwin muende reserve mutuachie madem town.

3 Likes

I was forced to continue schooling. G ya kwanza nilipata nkiwa mono, second nkiwa borm 2, and from there nkadecide to venture to biz!(milkman) nkapewa kichapo international na uncle.
Following year nkaskiziwa n I went back 2nd form, continuous suspes hadi I had to sit 4 the exams in another school.
Managed to get a slightly better grade than TLS.!
Mwenye register anitick!

2 Likes

Prezent…:cool:

hii telegram yako tunakuachia IC.

1 Like

Nilipata grades za campo… Lets see what life has for me

Watu wanarubbish good grades hapa…kuna so much bile from underperformers wa miaka nyingi iliyopita. We will celebrate a good honest grade especially from a child from a humble background since itamwezesha kusoma equally with his/her rich peers bila kustrain wazazi wake who may not have been able to afford Parallel Courses’ fees.

5 Likes