USIKU SACCO

Niko 225km away from Nairobi stima zimepotea na naskiza radio ya batt. Rhumba oxygen. Sorry nimesahau kusema ‘present, Sir!!!’

Richord Pyor ni comedian mgani sasa?

Yule najua ni Richard Pryor (RIP)

speling wachia ile boy hukuwa majuu :smiley: mimi nilisomea karuri apana tambua…:slight_smile: ni uyo Richard Pryor he inspired lots of black comedians…akina eddie mupphy …

Na huyo boy amewatinga bao ya pili Onuachu ako rated 48 pale FIFA:D
[ATTACH=full]31600[/ATTACH]
De Gea amejiumiza kiufala akipiga warm up before io mechi

iyo ni kama kuambiya lanye wa SJ usiwai muona na client wa kericho east ) haiwezekani

1 Like

Niponipo.TupoTupo.Creeping out of my hole to start the noctuenal excavations!

Mimi staki fombe. Took 2 guaranas jana. Sasa nimeamka 3am na kichwa inauma.

leo tuko hapa

https://www.youtube.com/watch?v=_JTWuPjW6Dw

Hiyo ni kitunguu na hatuweki kwa kachumbari.