Usiku Sacco

present sir!
kitchen imewekwa kufuli kwa hivo sahani sipati!
so kofia pia no sawa?

2 Likes

Present natengeneza custard ya breakfast kesho, and there are guys who are really shitty kumbe jamaa wa studio hakushika concept…@guru uko uber had this nice lady taxi driver today

1 Like

Some Say I speak French in Russian and I can prepare a steak with my balls… All I know is I am present!

2 Likes

Present Sir. Nimekuja na sahani ya kalu works(Kauro to mountaineers) chumvi na blue band 1 2 3 itembee.

1 Like

Hehehehehhe hapa homojirani hujaambiwa poa.

Oriena papa nimeland shepart in tow. Meria Mata githeri is one of my favourite delicacies nimekuja na bakuli ya yellow. Mimi sijui mbona Leo tunapewa food.

4 Likes

na si umenionea centreline buda…

4 Likes

:D:D:D
Nikopresent lakini ninakufa:D:D

5 Likes

@Nefertities tunapewa githeri, kuja tukule

Sikupata Ovacado. Mama amefunga.

3 Likes

Jirani hajaambiwa poa. Hahaha. Anyway, niko hapa kama mwiko kwa karai ya ugali.

3 Likes

tuta-share, niko na kiondo mzima…

1 Like

day ilikuwa dry kama lips za hawker wa somer set

2 Likes

Meanwhile Suarez ananyorosha Gijon; licha ya kuhata penalty.

hehehe…
ndio naenda kulala.
i thought teaching is a motherfucking joke.
kila siku nimechoka leo i was teaching the kids some hymns.
@Meria Mata sir unangoja?

1 Like

pia afanywe sub chief wa kijiji

1 Like

[SIZE=7]![/SIZE] i would love to hear that…

Budaboss umeskia good news …Wayne Rooney out for 6wks…kimepata kneee injury…meaning he will miss ile game ya Arsenal

2 Likes

napitia tu…wacha niende nipate coitus nipate usingizi.

1 Like

hehehe…
blessed assurance…
what a friend we have…
bringing in the sheaves…
hope you can remember this chorus.
I NEED NO OTHER ARGUEMENT I NEED NO OTHER PLEA.
IT IS ENOUGH THAT JESUS DIED AND THAT HE DIED FOR ME.
Another…
saviour hear my humble cry.
while you come visiting others do.not pass me by…
(i guess i got it wrong somehow).
Night sage wacha nikalale

1 Like

Yeah, githeri leo nimepika kwa wingi. Avocado pia kwa wingi. Maziwa tutawachia shepart.

1 Like