Usiku Sacco

Sacco imefunguriwa mapema leo.
kila mtu aje na sahani na kuni mbili.
[ATTACH=full]31457[/ATTACH]
@Guru amefanya kazi nzuri.
Maziwa ni ya Chairman @kawambui na bado twagojea @Nefertities to deliver the kienyeji eggs.
Kama hujui kwanini kuna food leo, wewe sio member. see @MISCHIEF for a refund

11 Likes

Let me the 1st to reply. Tunangoja mechi ya Real Madrid.

1 Like

Nipakulie mimi nitala na chumvi.

Ya leo mapema nipo… Nimekuwa off na kesho ndivo narudi kazini. If feel like a primary school kid on Sunday night. Other than that life has been great. Import is still around for another week until then I have no whining to do.

2 Likes

Present…my day was awesome i hope everyone had good day.

1 Like

Sir @Meria Mata Elder Stateman jana nilichelewa sikufika kwenye kikao. Lakini leo mimi huyu hapa… Sahani mkononi na maji kwa chupa.

1 Like

Koroga sikuli,

2 Likes

Forgot to say mzito hakulangi githeri. Hio ni dishy ya machokosh kama wakanyama. Mzito anakula kitu inaitwa burger.
[ATTACH=full]31459[/ATTACH]

1 Like

Kuna watu wanatafuta Avocado ndio wajoin sacco

Present my day was OK

12 Likes

Nishafika na bakuli yangu @Nefertities atachelewa kuingia bado anajijenga hapo mtaani

[ATTACH=full]31460[/ATTACH]

18 Likes

Wah na si umeangukia,huyo mzungu aliuma bite moja akatupa kwa dustbin

23 Likes

hehe hiyo ni gg

1 Like

:eek::D:D:D…10-love.

4 Likes

Reporting Sir. Leo nilijua ni Mimi tu nimesota, saw a black pimped rangerover called Exodus Uhuru highway, nikasema acha tu nikule nyama Leo tumbo itulie nifikirie. Msokoto wa tumbo juu ya githeri hairuhusu mtu akuje na million dollar ideas Kama za akina Gethi et al

1 Like

@Ice_Cube Apewe like moja afikishe milestone ya 10k likes.
[ATTACH=full]31463[/ATTACH]

5 Likes

Mambo na githeri.ni nyinyi[ATTACH=full]31467[/ATTACH]

2 Likes

Mimi niko sana. Niko na sahani ya chuma.

present sir

Kama haina “mboca” sitaki…

1 Like

Present. Had a great day!

Present na markia watoto CATs