Usiku Sacco

night runners nafungua sacco na kupita.
DO 1 isnt feeling well na dr luthers words were ‘tonsils zako ziko inflamed sana’ so ile headache nafeel ni wazimu na mwili kuwa na joto mob.
so @Meria Mata uchukue pesa na @Guru usukani.
mark register

2 Likes

Pole sana…walikupa amoxil ama ulidungwa sindano

ugua pole…about to call it a night, @Purr_27 akisema ataleta hiyo hekaya ya “import” nitangoja ngoja…reminds me ali-import jamaa halafu akaivalia biker:D

3 Likes

yea amoxil and clavunalate pottasium tablets, na citrizin na mouthwash na painkillers

1 Like

Umenoa dear…he he

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

:D:D:D

Relaxing day, made a sumptuos meal of mince meat, peas and spaghetti and watching hii movie About Last Night and whisky in hand…good day

2 Likes

Mouthwash na Cetrizine? I am sorry Fala but huyo daktari wako ni mganga wa kienyeji

Pole kaka utapata afueni hivi punde.Present Sir! Niponipo katika jengo.

hebu muulize?

Si @Purr_27 akikuja cycling Team Checki Maneno watatokelezea kwa wingi Meria Mata atatoka Msa kujoin

1 Like

Present and get well soon sir.

1 Like

LOL hata sijui nitaanza wapi… @Purr_27 leta hio hekaya… Inasound kuwa a 5-star hekaya.

Dead tired… good night people!

Aki Purr_27 dear, pleeaase iyo hekaya ikam.

Imagine hakuna hekaya…gashwin is jst joking

1 Like

Get well soon bro. Present sir

DO 1. You’ll be alright. Siku imekuwa mrefu sasa ni kupumzika kisha kuingia kwenye blanketi.

Babygal, usitupe stories, leta hekaya.

1 Like