nightrunners.
poleni sacco imefunguliwa late leo funguo zilikuwa zimepotea.
mark register
Present Sir! Tupotupo.
Present. Leo mumeniweka sana na uzingizi iko kibao
present pia, hakuna usingizi!
present.
Mimi igo
i miss my second job and that period in my life
pole sana fatso. was practising ile dance move ilikuvunja mguu
:D:D Ukona ufala
Mko floor gani?
naenda kuoga and then nirudi nilale…manze leave iliisha…kesho tena ngware 3am jo niko on the move
nimeng’ang’ana na Rubik’s cube imenishinda off to sleep
tuko 3rd floor afande
:D:D:D:D:D i remember fighting with one so hard and failing … then reaching peak-crazy and prying the top “plates” off then gluing them back all in the right positions color-wise for peace of mind!
KYM, ULE DAME YAKO WA KLOST,KYM ALIENDA WAPI ? Pia mimi Niko, siju hizi nimekua regular member, kuna Sacco nijoin?
Poa. Wacha niache hii Digo Shefadi hapa. Nataka kuona yule Kijana aliyetusi @gashwin Leo. Ajitia hamnazo kumbe Hana mbele wala nyuma. Kumbe yeye Ni chupi isiyotoshea kiwele ya siafu.
hata kama usiku hatishikanishangi kisungu yote. hii nikumaanisha mwenye alikuita crazy b**** hakuwa amekosea saaaana
Niko niko, nasoma The Everything Store, hey Nef
hi @Gio
Present! Usingizi umekataa kabisa… Rewatching “Kingdom of Heaven”.