As we say goodbye to jaanuary I want to thank you for making usiku sacco no 1 thread on ktalk.
This is where we share our day to day sorrows and triumphs.
How was your January? Did yu achieve or get closer to your dream, mie Lazima ni meet @Nefertities na niko karibu sana wish me luck elders, mbisha nitaweka hapa hapa.
Karibuni usiku sacco
:D;)
Present
Nerfer atakua underground from leo mtaona
Leo niko present!
Pesa yako iko wapi?
Sijawai kukuona hapa.
Welcome na ulete hekaya
present, @Meria Mata mbisha za Nakumatt mega naskia imedecide kuiva! otherwise [ATTACH=full]29530[/ATTACH]
Leo nimechoka kaa mbwa mzee.spent the whole afte kwa maji kaa samaki with junior n the mrs.
Kamoto kadogo na kamezimwa. Nothing to panic.
Mbisha ya maji tu.
Hizo zingine ni private
Nahara tobacco after kutake kubel jana… Sijui ni tobacco ama ni ketepa but niko pabaya
Mbisha
[ATTACH=full]29531[/ATTACH] [ATTACH=full]29532[/ATTACH]
Very present.
january yangu largely successful though biz ilikuwa chini…
Thanks God I was in my last sip of my evening drink.
present, had to go to work for 2 hrs kumalizia kakazi kidogo and send it.
Karibu, it’s Feb and don’t know where to import from, got offers from as far as Rwanda and Angola, all due to my fta connections, or do I agree to be sausage funguad and go.
Am in a dilemma.
Your advice will be highly appreciated
Maze,kukaa indoors ilikwara niko chiller mode na maboyz.bull dance nayo.
Naona kama ni sato vile wasee wamejiwachilia@Mojos Ntinda.
:D:D:D:D:D why niggaz so mad tho’?