USIKU SACCO

nightrunners woote register is now open

reporting for duty

Present DO1. Kuna hekaya yako pending. Usiku hatuko wengi

1 Like

Wewe unapatianga Mzee SAA ngapi?

mimi ndio mzee na tuko na yeye hapa kwa kijiji

Ndiyo kurudi home… 7.26 PM …
Sema kuchoka!
Na hii Man Cave haina ata kitunguuu!.. NKT!

I am just sick of KFC and McDonalds i think its Time to make that Phone call to the Wiffey!!!
She might be a "bitch " at the best of times,But atleast there is always Food in that House…
Wacha nimgotee…

2 Likes

alafu niwaulizaje… nime kua niki notice magari mob of late ziko na number plate ya either ug or tz… na nime kua nikishanga ni kwanini hizi magari ziko around mingi… nani ako na idea kuhusu hi phenomena… especially za ug ndio mingi sana

Checkin in, @Wakanyama I see you

2 Likes

Mzee si ni wewe

Present sir, I’ve mastered the art of bathing with one glass of water.

7 Likes

wakameat pea hawa nightrunners kikombe ya supu kila mmoja, itawasaidia kubattle baridi

3 Likes

niko. najikumbusha theory ya larry greiner…

Subcounty kuko na rasha rasha

1 Like

Peeping

1 Like

Seriously thinking of coming back to my roots, Naskia hata kabûthî iko na maji safi

1 Like

that sir is called american shower. we used to practise it in boarding school too

1 Like

Itabidi we settle this thing as men,kwa nini kungoa thread zangu?

uripe registration fee ama uketi pare
--------------------------------------->

1 Like

Nasikia huko kumekua jangwa. Chimba Kisima sasa.

Present D.O 1, heart burn ndio mingi hapa