USIKU SACCO.....

Nilikutana na Ki manzi. Was drunk. Nikajaribu Ku nego akaruka fiti kumi na kuleta show eti yeye hayuko venye namchukulia. Ni msee na pesa zake nipeleke ujinga mbali na anaweza jinunulia keroro. Watu wakanikondolea macho nikakuja mkia. Si unajua swa ya Mombasa Ni ngori manzi akikuamulia.

Fast forward nikarudi same joint Wednesday. The beautiful momo came latter. Nachapa Tu drinks. Kidogo amekam na tukaanza Ku chat. Akaanza maApologies. There and there nikafungulia carburetor. Na Si mnunulii. Najua yeye Ni kuro ilikuwa show Tu ya kufanya Ni drop my guard. Story Tu. Exchanged numbers. Next day anadai nim sort na 3k ako fixed. No reply. Whatsapp no reply.

Leo nikam show akam. She did. Hot mass. Drinks kiasi then hadi kwa room wet fry. Karibu nimchoree map alipodai dooo ya fare. Nikanwangalia akivaa nikahurumia yeye na kumpa 200. Kufika anani show mpesa supper. No reply. Huyu atanitambua. Hiyo kuniaibisha pub ataungama.

9 Likes

Lipa Dada zurura pesa yake,

Leo nina kesha …nangoja Royal rumble…watching ol school movies pale KODI
[ATTACH=full]28619[/ATTACH]

THIS IS GOLD
[ATTACH=full]28620[/ATTACH]

Hehehehehe. Watu wa bara mtalijua jiji la Mombasa.
Mnunulie supper wewe. ‘Kuoga ni kutoa nguo’.

2 Likes

You are busy paying a hoe some 200 bob in some lojo when your fellow soldiers are busy risking their lives trying to save fellow soldiers in somali…pure sadness

1 Like

Ile momo ulisemaje,bado nangoja

Is @Tom Bayeye around?

http://i.imgur.com/TFwknB5.png

She is high class mbaya. She only dates guys with Ranges. Lakini saa hii yuko single. She is my friend from childhood. Uko ready?

Stress relief. Uliza bibi wa soldier mwenye ametoka vita.

yep,one and only, i posted that.i hope you are bringing to light you horizontal escapades to light in

[/QUOTE]

Sijasema hivyo mimi

Sijasema hivyo mimi
[/QUOTE]

:D:D:D…kwa umbali lakini

He is very much around.

Si kwa ubaya, lakini akiweka njoti zake, zitasaidia soldiers na nini?

4 Likes

Where have you been all this while sir…were you among the inmates who were recently pardoned by the president?

you are very stupid. go die tonight!

1 Like

Feelings za nini mzee!!!

1 Like

Hi. :slight_smile:

hi friend. been a long day…

Hii ni momo gani?