Usiku sacco

Good evening or night my fellow villagers. Nimeamua kufungua usiku sacco hope hio mstari haitapandishwa kwa handle yangu. Btw whats up with the mistari on handles. Yani ile umama ya klost imetukujia huku pia? Otherwise villagers what are you upto, leo date wangu ameniangusha. Naenda kukojoa nirudi nilale.

8 Likes

Mkono iko na blisters au

2 Likes

Kuria hii mkojo hukusumbua sana. Mimi saa hii I am under blankets. Can drift anytime.

1 Like

Good night members, guests and robost.
welcome to todays usiku sacco flight.
i am your host tonight the fala with managed anger.
treasurer @Meria Mata is still collecting registration monies
chairlady @Lola- is back after her ben10 lost sportpesa bet and couldnt perform conjugarly
night farmer @Nefertities is still in her farm after rare rains in january
security today ni @uwesmake backed by aembu shepart
watchman is NV @Bingwa Scrotum

7 Likes

Mzito J anangoja ball Swansea vs Watford. Kickoff 9PM (CET)…25mins from now

2 Likes

@kush yule mnono ameku-Usain Bolt.

1 Like

@Deorro merge hii na ile ya kush tafadhali

1 Like

Mzito Jay, hapa naona ka-draw… 2-2

1 Like

Nothing to say sooooo

Do you realize how fast you were scrolling?

You mad bro?:cool:

1 Like

ufala tu… leo nimeteseka kweli

KOTAL MERGE HIZI VITU

Jay unaonea game phase gani huko Berndora?

1 Like

Mzee mji… siunge summarize hii umama umebandika hapa

1 Like

Present Sir, My day was cool. Leo nimekimbia kitu 4.5Km with ny students,Anyway am the games master in my school.

ARGH!! WEEEE MZEE NUGU!! Kitambo nirudi juu ku-click ‘all threads’

1 Like

Nimeweka 2:1 Swansea

Mtaani kejani via KODI

1 Like

:smiley: MTATII

nimekuwa nikizunguka kwa kijiji nikapatana na hii:
http://www.kenyatalk.com/index.php?forums/vip/

1 Like

@Mzee mzima grow up