Usiku sacco

Let me have the priviledge to open the Usiku sacco. Feel free to indulge in whatever tickles you fancy. @Wakanyama ifuo ndii.

1 Like

Hii ni pre uziku sacco…too early

Patiently waiting for the crowning of Leo El Messias for the fifth time Ballon d’Or winner

Hehehehehe, ata hujalipa subscription ya this year

wea is craZy dude(meria mata)??

LEO MESSSSSSIIIIIIIIII!!!

Hapo umenitusi

Haiya…after venye nimechangamsha hii sacco n burnt the midnight oil mara mob

Niskilie huruma

@Twangapepeta habari ya Eye Rack?

@Twangapepeta habari ya Eye Rack?

[ATTACH=full]26966[/ATTACH]

Niko job

6 Likes

Sio wewe auntie, ni huyu SV amefungua sacco leo.
Hii autocorrect itaniua

1 Like

@wakahuhu alikuwa hapa HUHU

Hiyo ni fine utatoa sasa :mad: :)…

Sasa Purity … as they say ngoja ngoja humiza tumbo. Just jump on the wagon stop complications

1 Like

Wankernyama siwes kutusi wewe. Thats to say umeshinda aje

1 Like

No problem, I got two kgs of pweza. Will make lots of soup when you confirm your arrival date

Eye Rack iko sambamba. Baridi ya desert hapana mchezo and the GMOs are not helping either.

:(…octopus, no thnks

Hehe siku hizi ujanja nikunywa supu ya pweza

1 Like