Usiku Sacco

kisokorokwinyo
New word we learned today, all men have one na yule hana anatafuta, swali langu ni je, tangu uoe umekua na visokorokwinyo wangapi?
Leo pia Tumeona episode 2 ya Sonko/joho series, battle lines have been drawn and seems before the end of the year we will be at season 8.
Welcome to usiku sacco ladies and gentlemen, how was your second Sunday of 2016?

6 Likes

Almost forgot, guka ameambiwa after kumwaga maziwa mala last year, hii mwaka anamwaga unga, Hehehehehe Fiud marsho I think you are beyond help, ata maombi hawes saidia wewe. Hope your will is ready.
@Supu don that was epic.

6 Likes

Present

1 Like

Kisokorokwinyo changu ni @Nefertities

2 Likes

Kisorokwinyo wangu ameleta kinyoriro :eek:

[ATTACH=full]26838[/ATTACH]

4 Likes

at least anamwaga something…

1 Like

hivi visokorokwinyo vyenu vitawaambukiza kisonono

Hicho kitu mnakisema sijui ni kinini lakini mimi ni pro kwa away matches. My record ni impressive kuliko ya West Ham.

Sasa next year si atanyamba from the wrong apparatus?:D:D:D:D:D:D

1 Like

Fulltime Eibar vs Espanyol
2-1

Io game ya Tottenham vs Leicester ilikuwa moto…ended 2:2

Nimekuwa nikishughulikia jazzman tv na ile ingine ya kenyatalk. Kitu mpya ilitokea ikanirahisishia kazi lakini ikanibidi nisome zaidi. Kodi is beautiful ukijua pahali pa kuangalia

1 Like

Leo @Supu don ameweza guka… Mpaka saa hizi bado nacheka. Hio si 10 nil, hio ni 150 nil… ION Niko kikopey (muthiga) listening to makagaray preaching, lol @Jirani & @uwesmake huku size zenyu ziko kwa wingi… Njooni ni Njaanuary but @Wakanyama si u know the place, ebu come & give this nyani some compe, nimenunua mkono ya mbuzi choma ksh1300, si ni daylight robbery? But nilikua na njaa na gachungwa!

4 Likes

Present,siku ya kanisa huwa spectacular to me always

Right now am on phone with Kim of North Korea, Am looking for a nuclear warhead, huyu ‘new villager’ alituonea sana. Atatambua kijiji iko na wenyewe
[ATTACH=full]26839[/ATTACH]
Who do you think he is?

5 Likes

kama pasi…if you ask me those are the best two teams in the EPL this season…

1 Like

Kwani mlikuwa na purr,

2 Likes

tunajua mtu anapenda mikono ya mbuzi…kama imechomwa…

Purr amekwamiliwa na @icecube plus he was my schoolmate, I dont sign where my fellow nyanis have signed.

3 Likes

Kumbe siko solo?.. Si una… Na kisu kama mimi?