Usiku Sacco

Uko wapi na umeshindaaje? How was your TBT, hope it was awesome. Nani anakumbuka magazine ya DRUM na TRUE LOVE. zile kuuga na hekaya of ‘how i met’. Used to really enjoy reading the stories. Kuna talkers who are MIA. Fabian mburu, xuma, bingwa scrotum to name but a few. Ata the guy wa late night poll, perhaps they are Boston ya Naivasha for holiday.
Welcome to usiku sacco na kama hujalipa ukae kando.

2 Likes

Registering…

Leo mm ndo nafungua sacco:)

Nawakilisha Mwiki,
had a great day,the only issue this road from Thika road to Mwiki. Nightmare pls direct me to cachier office!

@Carbon must be dead drank. Unless alikunywa thubu

1 Like

Alikunywa 4th generation acoho akasahau kaa ako nyeri au laikipia

Let’s ask @gashwin to check him out. Hao ni watu wa Gachagua

1 Like

Majina yako kamili na email ni kutumie form. Kuna vetting kissing.
PS: you have to declare your wealth too.
Advice, hama Mwiki ata kaa ni kwako.

Niko Meria mata ata kama uliongea mbaya wewe ni wetu… Nangoja game

2 Likes

Mi leo nachoma oiro ya midnight niko na report nafaa nimalise kabra ya kecho asubuhi

1 Like

@Carbon pia smartphone imepotea, didn’t last a day. PutinChuckle.png

1 Like

Umeniwekelea mkubwa, mimi sijawai ongea mbaya

1 Like

Signing in, was a good day ni tu vile jamaa alifikiria kujisaidia ni sidemirror ya gari

Pole sana boss

1 Like

true that…ngoja nipike ka-ugali nirudi…

ngojeni tu kidogo nitawaambia saa hii…

leo nataka @Nefertities atake my pole

2 Likes

niko area. high on 2nd generation

1 Like

ORIENA PAPA NIMELAND , BIBI AMEENDA NA CLICHY NA SANCHEZ KIMILILI for christmas , NIMEBAKI NAIROBI NA PIRES. Swali mbona hangeniwachia mboch atleast anisaidie na mausafi hapa

1 Like

Hahaa. Not in her right mind

3 Likes