USIKU SACCO

@Meria Mata has surrendered for the night. Same as @Fala 12 . Haya Tujiandikishe.

meria leo anakulavkule ile maazishi ya yule reporter.
momo mimi iko present

Hahaha tigai wanna mayangai. Eti umesema niko wa.
Asante Guru kwa kufungulia ma night walkers leo.
Treasurer yuko area na kitabu.

1 Like

Momo 1 @Guru , usukani ni wako. nko area though napita tu. naenda kula birawaru na cheese mahali :slight_smile:

ORIENA PAPA NIMELAND NA SHEPARD

Niko naona game

hehehe…
uchereirwo ku?

Nani ameonja zile waru za Purity.
Zinakaa tamu lakini cheese sipendi

Nilikua kwa thread ya malorry ya china nikiuliza msee fulani ni mangapi hio sachman mpya

Game gani leo?

GAME GANI MZEE MJINGA

Salimia Purity

SUPERSPORT FIVE BORUSIA VS - BREMEN

i will, lakini nisiitishwe mbisha

Waru was the first weaning meal till immemorial. I loathe

2 Likes

sachman mpya ni mangapi?
4.5m?

boi kamiti in the misq!
naomba tu usingizi ijipe, jana nimekesha

@Guru najua waingia job nakutoka na bodaboda. Ata sonko nimemuona amebebwa na boda leo.

Naingia na Haile Sillasie av. Uzuri am an early riser so no traffic. Kwanza hii jioni nimegonga boda. I didn’t stop. Wangenimaliza

2 Likes

Mimi ndiye isomnia imekesha kwangu. What to do?