Usiku Sacco

nimeona mwalimu mkuu MARIA MAGDALENE MATA @Meria Mata area but sijui ameingia shimo gani, i hope sio ya nyoka. leo maze mvua na baridi iko mob so register imefunguliwa mapema.
leo pia kuna night runners quiz
Q. what steps does a pink handle married by a blue handle night runner take to ensure that the blue handle doesnt get caught (12 marks)

the best answer i.e number 1 gets a flying broom
number 2 gets to fly with @Nefertities on his/her broom
number 3 gets to fly with @aviator

security today is being provided by the bukusu shepherd

2 Likes

where is da broom, i need to go for my rounds… though I would have preffered a magic carpet

1 Like

:slight_smile:

3 Likes

Treasurer yuko area. Kaa hujaripa Subscription za december nikikuona hapa ni equator mara that that.

2 Likes

:slight_smile: :smiley:

1 Like

Huyo rasta fariah kwa avator yako ni nani…

can you first take the bukusu shepherd for a walk

1 Like

Yours truly

na treasurer tunahitaji fta kwa sacco office

1 Like

:rolleyes::rolleyes:

Answer - hide him under my skirt

1 Like

:D:D:D:D:D

UTALAMBWA UIMBE REMIX YA NIBEBE ROSE MUHANDO

5 Likes

niaje Momo, na kwani ben9 umemficha wapi haonekani?? ebu mwambie asijaribu ku nightrun kama hio ndio sulution yako

SV wote waone treasurer wakiingia

Guru amelipia mischief na zod

3 Likes

hao ndio bodyguards wake wa leo eeh?

1 Like

yangu amasema atapeana kesho

1 Like

MZITO ORIENA PAPA NIMELAND .

ANSWER UNAPIKA NJUGU NA ISIUNGUE , IKIUNGUA BLUE HANDLE MULOSI ATASHIKWA

2 Likes

Sawa boss